sw_tn/luk/24/17.md

8 lines
199 B
Markdown

# Cleopa
Hii ni jina la mwanamume
# Je wewe ni mtu pekee ...siku hizi?
Cleopa anatumia swali kuonyesha mshangao wake kwamba huyu mtu anaonekana kutokujua juu ya mambo ambayo yametokea Yerusalemu.