sw_tn/luk/24/17.md

199 B

Cleopa

Hii ni jina la mwanamume

Je wewe ni mtu pekee ...siku hizi?

Cleopa anatumia swali kuonyesha mshangao wake kwamba huyu mtu anaonekana kutokujua juu ya mambo ambayo yametokea Yerusalemu.