# Cleopa Hii ni jina la mwanamume # Je wewe ni mtu pekee ...siku hizi? Cleopa anatumia swali kuonyesha mshangao wake kwamba huyu mtu anaonekana kutokujua juu ya mambo ambayo yametokea Yerusalemu.