sw_tn/luk/24/15.md

8 lines
240 B
Markdown

# Ikatokea kwamba
Hii sentensi inatumika hapa kuashiria pale ambapo kitendo kinaanza. Kinaanza na Yesu kuwasogelea karibu.
# macho yao yalizuiliwa katika kumtambua yeye
Tafsiri mbadala: "Kuna kitu kiliwazuia hivyo hawakuweza kumtambua."