sw_tn/luk/24/15.md

240 B

Ikatokea kwamba

Hii sentensi inatumika hapa kuashiria pale ambapo kitendo kinaanza. Kinaanza na Yesu kuwasogelea karibu.

macho yao yalizuiliwa katika kumtambua yeye

Tafsiri mbadala: "Kuna kitu kiliwazuia hivyo hawakuweza kumtambua."