# Ikatokea kwamba Hii sentensi inatumika hapa kuashiria pale ambapo kitendo kinaanza. Kinaanza na Yesu kuwasogelea karibu. # macho yao yalizuiliwa katika kumtambua yeye Tafsiri mbadala: "Kuna kitu kiliwazuia hivyo hawakuweza kumtambua."