sw_tn/luk/24/11.md

12 lines
308 B
Markdown

# Lakini ujumbe huu ukaonekana kama mzaa tu kwa mitume
"Lakini mitume walifikiri kwamba kile ambacho wanawake walisema yalikuwa ni maongezi yasiyo na maana"
# akichungulia na kuangalia ndani
"akainama." Petro ilimlazimu ainame ili aweze kuangalia au kutazama kaburini.
# sanda ziko peke yake
"sanda tu"