# Lakini ujumbe huu ukaonekana kama mzaa tu kwa mitume "Lakini mitume walifikiri kwamba kile ambacho wanawake walisema yalikuwa ni maongezi yasiyo na maana" # akichungulia na kuangalia ndani "akainama." Petro ilimlazimu ainame ili aweze kuangalia au kutazama kaburini. # sanda ziko peke yake "sanda tu"