sw_tn/luk/24/11.md

308 B

Lakini ujumbe huu ukaonekana kama mzaa tu kwa mitume

"Lakini mitume walifikiri kwamba kile ambacho wanawake walisema yalikuwa ni maongezi yasiyo na maana"

akichungulia na kuangalia ndani

"akainama." Petro ilimlazimu ainame ili aweze kuangalia au kutazama kaburini.

sanda ziko peke yake

"sanda tu"