sw_tn/luk/24/08.md

12 lines
347 B
Markdown

# wakakumbuka maneno yake
Tafsiri mbadala: "walikumbuka yale aliyoyasema Yesu"
# wengine wote
"wanafunzi wengine wote waliokuwa na mitume kumi na mmoja"
# Basi
Neno hili limetumika hapa kuonyesha pumziko katika simulizi kuu. Hapa Luka anatoa majina ya baadhi ya wanawake na kuelezea namna ambavyo mitume waliitikia kwa kile ambacho walisema.