sw_tn/luk/24/08.md

347 B

wakakumbuka maneno yake

Tafsiri mbadala: "walikumbuka yale aliyoyasema Yesu"

wengine wote

"wanafunzi wengine wote waliokuwa na mitume kumi na mmoja"

Basi

Neno hili limetumika hapa kuonyesha pumziko katika simulizi kuu. Hapa Luka anatoa majina ya baadhi ya wanawake na kuelezea namna ambavyo mitume waliitikia kwa kile ambacho walisema.