# wakakumbuka maneno yake Tafsiri mbadala: "walikumbuka yale aliyoyasema Yesu" # wengine wote "wanafunzi wengine wote waliokuwa na mitume kumi na mmoja" # Basi Neno hili limetumika hapa kuonyesha pumziko katika simulizi kuu. Hapa Luka anatoa majina ya baadhi ya wanawake na kuelezea namna ambavyo mitume waliitikia kwa kile ambacho walisema.