sw_tn/luk/24/06.md

628 B

Kumbukeni alivyo..

"Kumbukeni yale"

alivyosema nanyi

Yesu alikuwa amekwisha kusema haya wiki moja mapema.

nanyi

Neno "nanyi" linaonesha wingi. Inaongelea juu ya wale wanawake na wanafunzi wengine.

kwamba Mwana wa Adamu

Huu ni mwanzo wa kunukuu jambo si kwa njia ambayo imenyooka.

Mwana wa Adamu lazima atolewe kwenye mikono ya watu wenye dhambi na asulubishwe.

Hii ni jamboa bila shaka lingetokea kwa sababu alikuwa ameamua kwamba litatokea. Tafsiri mbadala: "ilikuwa ni lazima wamtoe Mwana wa Adamu kwa watu wenye dhambi ili waweze kumsulubisha .

kwenye mikono

Hapa "mkono" unaonyesha nguvu au uthibiti.