sw_tn/luk/24/06.md

24 lines
628 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kumbukeni alivyo..
"Kumbukeni yale"
# alivyosema nanyi
Yesu alikuwa amekwisha kusema haya wiki moja mapema.
# nanyi
Neno "nanyi" linaonesha wingi. Inaongelea juu ya wale wanawake na wanafunzi wengine.
# kwamba Mwana wa Adamu
Huu ni mwanzo wa kunukuu jambo si kwa njia ambayo imenyooka.
# Mwana wa Adamu lazima atolewe kwenye mikono ya watu wenye dhambi na asulubishwe.
Hii ni jamboa bila shaka lingetokea kwa sababu alikuwa ameamua kwamba litatokea. Tafsiri mbadala: "ilikuwa ni lazima wamtoe Mwana wa Adamu kwa watu wenye dhambi ili waweze kumsulubisha .
# kwenye mikono
Hapa "mkono" unaonyesha nguvu au uthibiti.