# Kumbukeni alivyo.. "Kumbukeni yale" # alivyosema nanyi Yesu alikuwa amekwisha kusema haya wiki moja mapema. # nanyi Neno "nanyi" linaonesha wingi. Inaongelea juu ya wale wanawake na wanafunzi wengine. # kwamba Mwana wa Adamu Huu ni mwanzo wa kunukuu jambo si kwa njia ambayo imenyooka. # Mwana wa Adamu lazima atolewe kwenye mikono ya watu wenye dhambi na asulubishwe. Hii ni jamboa bila shaka lingetokea kwa sababu alikuwa ameamua kwamba litatokea. Tafsiri mbadala: "ilikuwa ni lazima wamtoe Mwana wa Adamu kwa watu wenye dhambi ili waweze kumsulubisha . # kwenye mikono Hapa "mkono" unaonyesha nguvu au uthibiti.