sw_tn/luk/24/04.md

20 lines
561 B
Markdown

# Ilitokea
Hii sentensi ilitumika hapa kuweka alama ya tukio muhimu katika simulizi.
# mavazi ya kung'aa
"wamevaa angavu, mavazi yanayong'aa"
# wamejaa hofu
"wakaogopa"
# Kwanini mnamtafuta aliye hai miongoni mwa wafu?
Wale wanaume wanatumia swali kuwapinga wale wanawake kumtafuta kwenye kaburi mtu aliyehai. Tafsiri mbadala: " Mnamtafuta mtu aliye hai kati ya au miongoni mwao wafu" au "Hamtakiwi kumtafuta mtu ambaye yu hai katika sehemu wanapozika watu waliokufa!"
# Kwanini mnamtafuta
Hapa inamaanisha wengi, inaongelea juu ya wanawake waliokuja.