sw_tn/luk/24/04.md

561 B

Ilitokea

Hii sentensi ilitumika hapa kuweka alama ya tukio muhimu katika simulizi.

mavazi ya kung'aa

"wamevaa angavu, mavazi yanayong'aa"

wamejaa hofu

"wakaogopa"

Kwanini mnamtafuta aliye hai miongoni mwa wafu?

Wale wanaume wanatumia swali kuwapinga wale wanawake kumtafuta kwenye kaburi mtu aliyehai. Tafsiri mbadala: " Mnamtafuta mtu aliye hai kati ya au miongoni mwao wafu" au "Hamtakiwi kumtafuta mtu ambaye yu hai katika sehemu wanapozika watu waliokufa!"

Kwanini mnamtafuta

Hapa inamaanisha wengi, inaongelea juu ya wanawake waliokuja.