sw_tn/luk/24/01.md

457 B

Mapema sana siku ya kwanza ya wiki

"Kabla jua halijachomoza siku ya Jumapili"

walikuja

"wanawake walifika kwenye."

kaburini

Kaburi lilikuwa limechongwa katika mwamba wa karibu na bahari.

jiwe limeviringishwa

Tafsiri mbadala: "kwamba mtu fulani alikuwa ameriviringisha lile jiwe"

jiwe

Hili lilikuwa kubwa, limechongwa, jiwe la duara kubwa la kutosha kuweza kuziba kabisa mlango wa kuingilia kaburini. Lilihitaji watu wengi kulivingirisha.