# Mapema sana siku ya kwanza ya wiki "Kabla jua halijachomoza siku ya Jumapili" # walikuja "wanawake walifika kwenye." # kaburini Kaburi lilikuwa limechongwa katika mwamba wa karibu na bahari. # jiwe limeviringishwa Tafsiri mbadala: "kwamba mtu fulani alikuwa ameriviringisha lile jiwe" # jiwe Hili lilikuwa kubwa, limechongwa, jiwe la duara kubwa la kutosha kuweza kuziba kabisa mlango wa kuingilia kaburini. Lilihitaji watu wengi kulivingirisha.