sw_tn/luk/23/54.md

40 lines
902 B
Markdown

# Ni siku ya maandalizi
"Ni siku ambayo watu wanajiandaa kwa siku ya Wayahudi kupumzika iitwayo Sabato"
# Sabato inakaribia
"Inakaribia kuwa jioni, kuanza kwa Sabato" Alfajiri hapa ni mfano kwa ajili ya mwanzo wa siku. Kwa Wayahudi, siku ilianza jioni.
# waliokuja nao kutoka Galilaya
"waliosafiri na Yesu kutoka jimbo la Galilaya"
# walimfuata baada
"walimfuata Josefu na wanaume waliokuwa pamoja naye"
# wakaona kaburi
"wanawake wakaona kaburi"
# na jinsi mwili wake ulivyolazwa
"Wanawake waliona jinsi hao wanaume walivyomlaza mwili wa Yesu ndani ya kaburi"
# walirudi
"wanawake walienda kwenye nyumba ambayo wanawake hao wanakaa"
# kuandaa manukato na marashi
"kuandaa manukato na marashi ili kuandaa Mwili wa Yesu kwa ajili ya mazishi".
# walipumzika
"wanawake wale hawakufanya kazi"
# kulingana na amri
"Kulingana na sheria za Wayahudi" au "kama sheria ya Wayahudi inavyotaka"