sw_tn/luk/23/54.md

902 B

Ni siku ya maandalizi

"Ni siku ambayo watu wanajiandaa kwa siku ya Wayahudi kupumzika iitwayo Sabato"

Sabato inakaribia

"Inakaribia kuwa jioni, kuanza kwa Sabato" Alfajiri hapa ni mfano kwa ajili ya mwanzo wa siku. Kwa Wayahudi, siku ilianza jioni.

waliokuja nao kutoka Galilaya

"waliosafiri na Yesu kutoka jimbo la Galilaya"

walimfuata baada

"walimfuata Josefu na wanaume waliokuwa pamoja naye"

wakaona kaburi

"wanawake wakaona kaburi"

na jinsi mwili wake ulivyolazwa

"Wanawake waliona jinsi hao wanaume walivyomlaza mwili wa Yesu ndani ya kaburi"

walirudi

"wanawake walienda kwenye nyumba ambayo wanawake hao wanakaa"

kuandaa manukato na marashi

"kuandaa manukato na marashi ili kuandaa Mwili wa Yesu kwa ajili ya mazishi".

walipumzika

"wanawake wale hawakufanya kazi"

kulingana na amri

"Kulingana na sheria za Wayahudi" au "kama sheria ya Wayahudi inavyotaka"