sw_tn/luk/23/50.md

24 lines
794 B
Markdown

# Tazama, palikuwa na mtu
Neno 'tazama' inatufanya tuweze kumuona mtu mpya katika hadithi. Lugha yako inaweza kuwa njia ya kufanya hili. "Kulikuwa na mtu ambaye alikuwa".
# ambaye ni mmoja wa baraza
"na Yeye alikuwa mmoja wapo wa wajumbe wa baraza la Wayahudi"
# mzuri na mwenye haki
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Yeye alikuwa mtu mzuri na mweye haki"
# alikuwa hajakubaliana na maamuzi au matendo yao
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya." Joseph hakukubaliana na uamuzi wa baraza hilo kumuua Yesu na hatua ya baraza hilo"
# kutoka Armathaya, Mji wa Kiyahudi
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya." Josefu alitokea kwenye mji wa kiyahudi ulioitwa Arimathaya"
# ambaye alikua akisubiri
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya."Josefu alikuwa akisubiri"