sw_tn/luk/23/50.md

794 B

Tazama, palikuwa na mtu

Neno 'tazama' inatufanya tuweze kumuona mtu mpya katika hadithi. Lugha yako inaweza kuwa njia ya kufanya hili. "Kulikuwa na mtu ambaye alikuwa".

ambaye ni mmoja wa baraza

"na Yeye alikuwa mmoja wapo wa wajumbe wa baraza la Wayahudi"

mzuri na mwenye haki

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Yeye alikuwa mtu mzuri na mweye haki"

alikuwa hajakubaliana na maamuzi au matendo yao

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya." Joseph hakukubaliana na uamuzi wa baraza hilo kumuua Yesu na hatua ya baraza hilo"

kutoka Armathaya, Mji wa Kiyahudi

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya." Josefu alitokea kwenye mji wa kiyahudi ulioitwa Arimathaya"

ambaye alikua akisubiri

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya."Josefu alikuwa akisubiri"