# Tazama, palikuwa na mtu Neno 'tazama' inatufanya tuweze kumuona mtu mpya katika hadithi. Lugha yako inaweza kuwa njia ya kufanya hili. "Kulikuwa na mtu ambaye alikuwa". # ambaye ni mmoja wa baraza "na Yeye alikuwa mmoja wapo wa wajumbe wa baraza la Wayahudi" # mzuri na mwenye haki Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Yeye alikuwa mtu mzuri na mweye haki" # alikuwa hajakubaliana na maamuzi au matendo yao Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya." Joseph hakukubaliana na uamuzi wa baraza hilo kumuua Yesu na hatua ya baraza hilo" # kutoka Armathaya, Mji wa Kiyahudi Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya." Josefu alitokea kwenye mji wa kiyahudi ulioitwa Arimathaya" # ambaye alikua akisubiri Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya."Josefu alikuwa akisubiri"