sw_tn/luk/23/48.md

477 B

umati

"Mkusanyiko wa watu"

tukio

"tukio"au "kile kinachotokea"

waliokuja pamoja

"waliokusanyika pamoja"

mambo yaliyofanyika

"kitu kilichofanyika"

walirudi

"kurudi majumbani mwao"

wakipiga matiti yao

"wakipiga vifuani mwao wakionyesha jinsi walivyosikitika"

marafiki zake

"wale waliomjua Yesu" au "wale waliokutana na Yesu huko nyuma"

waliomfuata yeye

"walimfuata Yesu"

kwa mbali

"umbali fulani kutoka alipo Yesu"

hayo mambo

"yaliyotokea"