sw_tn/luk/23/48.md

40 lines
477 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# umati
"Mkusanyiko wa watu"
# tukio
"tukio"au "kile kinachotokea"
# waliokuja pamoja
"waliokusanyika pamoja"
# mambo yaliyofanyika
"kitu kilichofanyika"
# walirudi
"kurudi majumbani mwao"
# wakipiga matiti yao
"wakipiga vifuani mwao wakionyesha jinsi walivyosikitika"
# marafiki zake
"wale waliomjua Yesu" au "wale waliokutana na Yesu huko nyuma"
# waliomfuata yeye
"walimfuata Yesu"
# kwa mbali
"umbali fulani kutoka alipo Yesu"
# hayo mambo
"yaliyotokea"