# umati "Mkusanyiko wa watu" # tukio "tukio"au "kile kinachotokea" # waliokuja pamoja "waliokusanyika pamoja" # mambo yaliyofanyika "kitu kilichofanyika" # walirudi "kurudi majumbani mwao" # wakipiga matiti yao "wakipiga vifuani mwao wakionyesha jinsi walivyosikitika" # marafiki zake "wale waliomjua Yesu" au "wale waliokutana na Yesu huko nyuma" # waliomfuata yeye "walimfuata Yesu" # kwa mbali "umbali fulani kutoka alipo Yesu" # hayo mambo "yaliyotokea"