sw_tn/luk/23/39.md

36 lines
701 B
Markdown

# Aliyesulubiwa
"aliyeangikwa pia msalabani"
# alimtukana
"alimtukana Yesu"
# Wewe si Kristo?
Muhalifu alitumia swali kumdhihaki Yesu."umedsi kuwa wewe ni Kristo"
# Jiokoe mwenyewe na sisi pia
Muhalifu hakufikiri kweli kuwa Yesu angeweza kuwaokoa kutoka kwenye msalaba"
# yule mwingine akajibu
"muhalifu mwingine alijibu"
# akimkemea na kusema
"na kumkemea yule muhalifu akisema"
# Je wewe humuogopi Mungu, kwani uko katika hukumu hiyo hiyo
Muhalifu alitumia swali kumkemea yule muhalifu mwingine. " Hauna hofu ya Mungu , kwani unamdhihaki Yesu wakati umetundikwa msalabani kama yeye.
# sisi tupo hapa kwa haki
"Kiukweli sisi tunastahili adhabu hii"
# mtu huyu
Hii inamaanisha Yesu.