# Aliyesulubiwa "aliyeangikwa pia msalabani" # alimtukana "alimtukana Yesu" # Wewe si Kristo? Muhalifu alitumia swali kumdhihaki Yesu."umedsi kuwa wewe ni Kristo" # Jiokoe mwenyewe na sisi pia Muhalifu hakufikiri kweli kuwa Yesu angeweza kuwaokoa kutoka kwenye msalaba" # yule mwingine akajibu "muhalifu mwingine alijibu" # akimkemea na kusema "na kumkemea yule muhalifu akisema" # Je wewe humuogopi Mungu, kwani uko katika hukumu hiyo hiyo Muhalifu alitumia swali kumkemea yule muhalifu mwingine. " Hauna hofu ya Mungu , kwani unamdhihaki Yesu wakati umetundikwa msalabani kama yeye. # sisi tupo hapa kwa haki "Kiukweli sisi tunastahili adhabu hii" # mtu huyu Hii inamaanisha Yesu.