sw_tn/luk/23/39.md

701 B

Aliyesulubiwa

"aliyeangikwa pia msalabani"

alimtukana

"alimtukana Yesu"

Wewe si Kristo?

Muhalifu alitumia swali kumdhihaki Yesu."umedsi kuwa wewe ni Kristo"

Jiokoe mwenyewe na sisi pia

Muhalifu hakufikiri kweli kuwa Yesu angeweza kuwaokoa kutoka kwenye msalaba"

yule mwingine akajibu

"muhalifu mwingine alijibu"

akimkemea na kusema

"na kumkemea yule muhalifu akisema"

Je wewe humuogopi Mungu, kwani uko katika hukumu hiyo hiyo

Muhalifu alitumia swali kumkemea yule muhalifu mwingine. " Hauna hofu ya Mungu , kwani unamdhihaki Yesu wakati umetundikwa msalabani kama yeye.

sisi tupo hapa kwa haki

"Kiukweli sisi tunastahili adhabu hii"

mtu huyu

Hii inamaanisha Yesu.