sw_tn/luk/23/36.md

452 B

yeye

"Yesu"

walimkaribia yeye

"kuja karibu na Yesu"

wakampa siki

" walimpa Yesu siki ili anywe" Siki ni aina ya kinyaji kirahisi ambayo watu wa kawaida hunywa. Maaskari walimdhihaki Yesu kwa kumpa siki mtu aliyesema yeye ni mfalme.

alama juu yake

" kitu kama ubao juu ya msalaba wa Yesu iliyoandikwa"

HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI

Watu walioweka alama juu ya Yesu walikuwa wakimdhihaki yeye. Hawakuamini kweli kuwa yeye ni mfalme.