sw_tn/luk/23/36.md

20 lines
452 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# yeye
"Yesu"
# walimkaribia yeye
"kuja karibu na Yesu"
# wakampa siki
" walimpa Yesu siki ili anywe" Siki ni aina ya kinyaji kirahisi ambayo watu wa kawaida hunywa. Maaskari walimdhihaki Yesu kwa kumpa siki mtu aliyesema yeye ni mfalme.
# alama juu yake
" kitu kama ubao juu ya msalaba wa Yesu iliyoandikwa"
# HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI
Watu walioweka alama juu ya Yesu walikuwa wakimdhihaki yeye. Hawakuamini kweli kuwa yeye ni mfalme.