# yeye "Yesu" # walimkaribia yeye "kuja karibu na Yesu" # wakampa siki " walimpa Yesu siki ili anywe" Siki ni aina ya kinyaji kirahisi ambayo watu wa kawaida hunywa. Maaskari walimdhihaki Yesu kwa kumpa siki mtu aliyesema yeye ni mfalme. # alama juu yake " kitu kama ubao juu ya msalaba wa Yesu iliyoandikwa" # HUYU NDIYE MFALME WA WAYAHUDI Watu walioweka alama juu ya Yesu walikuwa wakimdhihaki yeye. Hawakuamini kweli kuwa yeye ni mfalme.