sw_tn/luk/23/35.md

16 lines
256 B
Markdown

# walisimama
"walisimama pale"
# Yeyey
Hii inamaanisa Yesu.
# ajiokoe mwenyewe
"Yesu atakuwa na uwezo wa kujiokoa" au "Tunataka kuona akijionyesha yeye ni nani kwa kujiokoa mwenyewe kutoka msalabani"
# aliyechaguliwa
"mmoja ambaye Mungu alimchagua"