# walisimama "walisimama pale" # Yeyey Hii inamaanisa Yesu. # ajiokoe mwenyewe "Yesu atakuwa na uwezo wa kujiokoa" au "Tunataka kuona akijionyesha yeye ni nani kwa kujiokoa mwenyewe kutoka msalabani" # aliyechaguliwa "mmoja ambaye Mungu alimchagua"