sw_tn/luk/23/35.md

256 B

walisimama

"walisimama pale"

Yeyey

Hii inamaanisa Yesu.

ajiokoe mwenyewe

"Yesu atakuwa na uwezo wa kujiokoa" au "Tunataka kuona akijionyesha yeye ni nani kwa kujiokoa mwenyewe kutoka msalabani"

aliyechaguliwa

"mmoja ambaye Mungu alimchagua"