sw_tn/luk/23/23.md

669 B

wakasisitiza

"Mkusanyo walisisitiza"

kwa sauti ya juu

"kwa kupiga kelele"

wakitaka asulubiwe

"Kwa Pilato kuwaamuru askari wake wamsulubishe Yesu"

Na sauti zao zikamshawishi Pilato

"Na umati wakandelea kupiga kelele hadi wakamshawishi Pilato"

kuwapa matakwa yao

"kufanya kile ambacho umati walitaka"

Akamuachilia yule waliyemtaka

"Pilato akamuachilia Barnaba ambaye umati walimuomba aachiliwe"

Aliyefungwa Jela

"ambaye Warumi walimuweka Jela"

Akamtoa Yesu kwa matakwa yao

"Pilato aliwaruhusu umati wafanye kwa Yesu chochote walivyotaka" au "Pilato alimtoa Yesu kwa umati wa watu na kuwaruhu umati kufanya kwa Yesu kile walicho kitaka."