sw_tn/luk/23/23.md

32 lines
669 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# wakasisitiza
"Mkusanyo walisisitiza"
# kwa sauti ya juu
"kwa kupiga kelele"
# wakitaka asulubiwe
"Kwa Pilato kuwaamuru askari wake wamsulubishe Yesu"
# Na sauti zao zikamshawishi Pilato
"Na umati wakandelea kupiga kelele hadi wakamshawishi Pilato"
# kuwapa matakwa yao
"kufanya kile ambacho umati walitaka"
# Akamuachilia yule waliyemtaka
"Pilato akamuachilia Barnaba ambaye umati walimuomba aachiliwe"
# Aliyefungwa Jela
"ambaye Warumi walimuweka Jela"
# Akamtoa Yesu kwa matakwa yao
"Pilato aliwaruhusu umati wafanye kwa Yesu chochote walivyotaka" au "Pilato alimtoa Yesu kwa umati wa watu na kuwaruhu umati kufanya kwa Yesu kile walicho kitaka."