# wakasisitiza "Mkusanyo walisisitiza" # kwa sauti ya juu "kwa kupiga kelele" # wakitaka asulubiwe "Kwa Pilato kuwaamuru askari wake wamsulubishe Yesu" # Na sauti zao zikamshawishi Pilato "Na umati wakandelea kupiga kelele hadi wakamshawishi Pilato" # kuwapa matakwa yao "kufanya kile ambacho umati walitaka" # Akamuachilia yule waliyemtaka "Pilato akamuachilia Barnaba ambaye umati walimuomba aachiliwe" # Aliyefungwa Jela "ambaye Warumi walimuweka Jela" # Akamtoa Yesu kwa matakwa yao "Pilato aliwaruhusu umati wafanye kwa Yesu chochote walivyotaka" au "Pilato alimtoa Yesu kwa umati wa watu na kuwaruhu umati kufanya kwa Yesu kile walicho kitaka."