sw_tn/luk/23/20.md

234 B

akawaambia tena

"akaongea nao tena" au "aliongea tena na watu kwenye mkusanyiko"

akitamani kumuachilia Yesu

"kwasababu alitaka kumuachilia Yesu"

Akawaambia kwa maraya tatu

"Pilato akasema na mkutano tena, kwa mara ya tatu"