# akawaambia tena "akaongea nao tena" au "aliongea tena na watu kwenye mkusanyiko" # akitamani kumuachilia Yesu "kwasababu alitaka kumuachilia Yesu" # Akawaambia kwa maraya tatu "Pilato akasema na mkutano tena, kwa mara ya tatu"