sw_tn/luk/23/18.md

20 lines
386 B
Markdown

# wote wakapiga kelele pamoja
"Watu wote kwenye mkusanyiko walipiga kelele"
# Mwondoe mtu huyu
"Mchukue mtu huyu mbali ". Mchukuwe mtu huyu mbali na kumnyonga"
# ambaye amewekwa gerezani
"ambaye Warumi walimuweka gerezani"
# kwa
"kwasababu ya kujihusisha" au " kwasababu ya uhalifu wake"
# ya uasi fulani
"alijarubu kuwahamasisha watu wa mji kuasi dhidi ya serikali ya Kirumi"