# wote wakapiga kelele pamoja "Watu wote kwenye mkusanyiko walipiga kelele" # Mwondoe mtu huyu "Mchukue mtu huyu mbali ". Mchukuwe mtu huyu mbali na kumnyonga" # ambaye amewekwa gerezani "ambaye Warumi walimuweka gerezani" # kwa "kwasababu ya kujihusisha" au " kwasababu ya uhalifu wake" # ya uasi fulani "alijarubu kuwahamasisha watu wa mji kuasi dhidi ya serikali ya Kirumi"