sw_tn/luk/23/18.md

386 B

wote wakapiga kelele pamoja

"Watu wote kwenye mkusanyiko walipiga kelele"

Mwondoe mtu huyu

"Mchukue mtu huyu mbali ". Mchukuwe mtu huyu mbali na kumnyonga"

ambaye amewekwa gerezani

"ambaye Warumi walimuweka gerezani"

kwa

"kwasababu ya kujihusisha" au " kwasababu ya uhalifu wake"

ya uasi fulani

"alijarubu kuwahamasisha watu wa mji kuasi dhidi ya serikali ya Kirumi"