sw_tn/luk/23/13.md

294 B

akawaita pomoja makuhani wakuu, watawala na umati wa watu

"Aliwaita Makuhani na watawala na umati wa watu kuja kukutana pamoja"

tazama nimemuhoji mbele yenu

"Nimemuuliza Yesu Mbele yenu". Nimemuhoji Yesu wakati ninyi mnashuhudia hapa"

na sikuona kosa

"Na sifikiri kwamba ana hatia"