sw_tn/luk/23/13.md

12 lines
294 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# akawaita pomoja makuhani wakuu, watawala na umati wa watu
"Aliwaita Makuhani na watawala na umati wa watu kuja kukutana pamoja"
# tazama nimemuhoji mbele yenu
"Nimemuuliza Yesu Mbele yenu". Nimemuhoji Yesu wakati ninyi mnashuhudia hapa"
# na sikuona kosa
"Na sifikiri kwamba ana hatia"