# akawaita pomoja makuhani wakuu, watawala na umati wa watu "Aliwaita Makuhani na watawala na umati wa watu kuja kukutana pamoja" # tazama nimemuhoji mbele yenu "Nimemuuliza Yesu Mbele yenu". Nimemuhoji Yesu wakati ninyi mnashuhudia hapa" # na sikuona kosa "Na sifikiri kwamba ana hatia"