sw_tn/luk/23/06.md

473 B

aliposikia haya

"kusikia kuwa Yesu alianza kufundisha huko Galilaya"

kama

kama

mtu huyu

Hii inamaanisha Yesu

alipotambua

"Pilato akatambua"

alikuwa chini ya utawala wa Herode

Kifungu hiki hakitaji ukweli unaoelekea kuwa Herode alikuwa Mtawala wa Galilaya. "Yesu alikuwa chini ya utawala wa Herode kwasababu Herode alitawala Galilaya"

akatuma

"Pilato alituma"

ambaye mwenyewe

Hii inamaanisha Herode

kwa siku hizo

"Wakati wa sherehe za Pasaka"