sw_tn/luk/23/06.md

32 lines
473 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# aliposikia haya
"kusikia kuwa Yesu alianza kufundisha huko Galilaya"
# kama
kama
# mtu huyu
Hii inamaanisha Yesu
# alipotambua
"Pilato akatambua"
# alikuwa chini ya utawala wa Herode
Kifungu hiki hakitaji ukweli unaoelekea kuwa Herode alikuwa Mtawala wa Galilaya. "Yesu alikuwa chini ya utawala wa Herode kwasababu Herode alitawala Galilaya"
# akatuma
"Pilato alituma"
# ambaye mwenyewe
Hii inamaanisha Herode
# kwa siku hizo
"Wakati wa sherehe za Pasaka"