# aliposikia haya "kusikia kuwa Yesu alianza kufundisha huko Galilaya" # kama kama # mtu huyu Hii inamaanisha Yesu # alipotambua "Pilato akatambua" # alikuwa chini ya utawala wa Herode Kifungu hiki hakitaji ukweli unaoelekea kuwa Herode alikuwa Mtawala wa Galilaya. "Yesu alikuwa chini ya utawala wa Herode kwasababu Herode alitawala Galilaya" # akatuma "Pilato alituma" # ambaye mwenyewe Hii inamaanisha Herode # kwa siku hizo "Wakati wa sherehe za Pasaka"